\v 3 Wao wamenoa ndimi zao kama panga; wamelenga mishale yao, maneno machungu, \v 4 Ili kwamba waweze kupiga kutoka mahali pa siri kwenda kwa mtu asiye na hatia; wampige yeye kwa ghafla nao wasihofu lolote.