\c 43 \v 1 Mungu, uniletee haki, na unitetee dhidi ya taifa lisilo la kimungu. \v 2 Kwa kuwa wewe ni Mungu wa nguvu zangu. Kwa nini umenikataa? Kwa nini ninaenenda katika maombolezo kwa sababu ya ukandamizaji wa adui yangu?