sw_psa_text_ulb/74/18.txt

1 line
203 B
Plaintext

\v 18 Kumbuka vile adui alivyo vurumisha matusi kwako, Yahwe, na kwamba watu wapumbavu wamelitukana jina lako. \v 19 Usimtoe njiwa afe kwa mnyama wa porini. Usiusahau milele uhai wa watu wako walioonewa.