sw_psa_text_ulb/39/10.txt

1 line
188 B
Plaintext

\v 10 Acha kunijeruhi; nimezidiwa na pigo la mkono wako. \v 11 Wewe unapowaadhibu watu kwa ajili ya dhambi, huvila kama nondo vitu vyao wavitamanivyo; hakika watu si kitu bali mvuke. Serah