\v 9 Usiniangamize pamoja na wenye dhambi, au maisha yangu na watu wenye kiu ya kumwaga damu, \v 10 ambao katika mikono yao kuna njama, na ambao mkono wa kuume umejaa rushwa.