sw_psa_text_ulb/137/03.txt

1 line
210 B
Plaintext

\v 3 Huko watekaji wetu walitaka tuwaimbie, na wale walio tudhihaki walitutaka sisi tufurahi, wakisema, "Tuimbieni moja ya nyimbo za Sayuni." \v 4 Tungewezaje kuimba wimbo unaomuhusu Yahwe katika nchi ya ugeni?