\c 137 \v 1 Kando ya mito ya Babeli tuliketi na tulilia tulipoikumbuka Sayuni. \v 2 Tulitundika vinubi vyetu kwenye miti ya Babeli.