sw_psa_text_ulb/127/03.txt

1 line
292 B
Plaintext

\v 3 Tazama, wana ni urithi kutoka kwa Yahwe, uzao wa tumbo ni thawabu kutoka kwake. \v 4 Kama mishale mkononi mwa shujaa, ndivyo walivyo wana wa ujanani. \v 5 Ni namna gani alivyo barikiwa mtu ambaye amelijaza podo lake; hivyo hataaibishwa, pindi atakapo kabiliana na adui zake katika lango.