\v 95 Waovu hujiandaa kuniangamiza, lakini nitatafuta kuzielewa amri za agano lako. \v 96 Nimeona kuwa kila kitu kina mipaka, lakini amri zako ni pana, zaidi ya mipaka. MEM.