sw_psa_text_ulb/119/91.txt

1 line
207 B
Plaintext

\v 91 Vitu yote yaliendelea mpaka leo hii, kama vile ulivyosema katika amri zako za haki, maana vitu vyote ni watumishi wako. \v 92 Kama sheria yako isingekuwa furaha yangu, ningeangamia katika mateso yangu.