\v 67 Kabla sijateswa nilipotea, lakini sasa nimelitii neno lako. \v 68 Wewe ni mwema, na ndiye yule utendaye mema; unifundishe sheria zako.