\v 43 Usiliondoe neno la kweli mdomoni mwangu, maana nimesubiri kwa ajili ya amri zako za haki. \v 44 Nitazitii sheria zako siku zote, milele na milele.