\v 25 Uhai wangu unashikamana na mavumbi! nipe uhai kwa neno lako. \v 26 Nilikuambia mapito yangu, na ulinijibu; nifundishe sheria zako.