1 line
150 B
Plaintext

\v 153 Uyatazame mateso yangu na unisaidie, maana siisahau sheria yako. \v 154 Unitetee na kunikomboa; unihifadhi, kama ulivyo ahidi katika neno lako.