\v 123 Macho yangu yanachoka kwa kuusubiri wokovu wako na neno lako la haki. \v 124 Mwoneshe mtumishi wako uaminifu wa agano lako, na unifundishe sheria zako.