\v 22 Jiwe ambalo wajenzi walilikataa wajenzi limekuwa msingi. \v 23 Yahwe ndiye afanyaye hili; ni la ajabu machoni petu.