\c 118 \v 1 Mshukuruni Yahwe, kwa kuwa ni mwema, kwa maana uaminifu wa agano lake wadumu milele. \v 2 Israeli na aseme, "Uaminifu wa agano lake wadumu milele."