\v 6 Kwa maana hataondoshwa kamwe; mwenye haki atakumbukwa milele. \v 7 Haogopi habari mbaya; ni jasiri, akimtumainia Yahwe.