sw_psa_text_ulb/112/03.txt

1 line
237 B
Plaintext

\v 3 Nyumbani mwake mna utajiri na mali; na haki yake itadumu milele. \v 4 Nuru huangazia gizani kwa ajili ya mtu mcha Mungu; yeye ni wa fadhili, huruma, na haki. \v 5 Heri atendaye fadhili na kukopesha, afanyaye mambo yake kwa uaminifu.