sw_psa_text_ulb/106/47.txt

1 line
273 B
Plaintext

\v 47 Utuokoe, Ee Yahwe, Mungu wetu. Utukusanye kutoka kati ya mataifa ili kwamba tuweze kulishukuru jina lako takatifu na utukufu katika sifa zako. Yahwe, \v 48 Mungu wa Israeli, na asifiwe toka milele na milele. watu wote walisema, "Amen." Msifuni Yahwe. Kitabu cha tano.