\v 42 Maadui zao wakawaonea, wakatiishwa chini ya mamlaka yao. \v 43 Mara nyingi alienda kuwasaidia, lakini waliendelea kuasi nao walishushwa chini kwa dhambi zao wenyewe.