\v 28 Waliabudu Baal ya Poeri na walizila dhabihu zilizotolewa kwa wafu. \v 29 Walimkasirisha kwa matendo yao, na pigo la gonjwa baya liliwashambulia kati yao.