sw_psa_text_ulb/78/12.txt

1 line
280 B
Plaintext

\v 12 Walisahau mambo ya ajabu aliyoyafanya machoni pa mababu zao katika nchi ya Misri, katika ardhi ya Soani. \v 13 Aliigawa bahari na akawaongoza katikati ya bahari; aliyafanya maji yasimame kama kuta. \v 14 Wakati wa mchana aliwaongoza kwa wingu na usiku wote kwa nuru ya moto.