sw_psa_text_ulb/72/18.txt

1 line
227 B
Plaintext

\v 18 Yahwe Mungu, Mungu wa Israel, atukuzwe, ambaye pekee hufanya mambo ya ajabu. \v 19 Jina lake tukufu litukuzawe milele, nayo nchi yote ijazwe na utukufu wake. Amina, Amina. \v 20 Maombi ya Daudi mwana wa Yese yamemalizika.