sw_psa_text_ulb/72/08.txt

1 line
249 B
Plaintext

\v 8 Na awe na mamlaka toka bahari na bahari, na kutoka Mto hadi miisho ya dunia. \v 9 Na wote waishio jangwani wainame mbele zake; adui zake na walambe mavumbi. \v 10 Wafalme wa Tashishi na visiwa walete kodi; wafalme wa Sheba na Seba watoe zawadi.