\v 9 Wewe, Mungu, ulituma mvua nyingi; uliuimarisha urithi wako wakati ulipokuwa umechoka. \v 10 Watu wako waliishi humo; Wewe, Mungu, uliutoa kwa wema wako kwa maskini.