sw_psa_text_ulb/68/01.txt

1 line
303 B
Plaintext

\c 68 \v 1 Mungu ainuke, maadui zake watawanyike; pia wale wamchukiao wakimbie mbele zake. \v 2 Kama moshi uondoshwavyo, hivyo uwaondoshe wao; kama nta iyeyukavo mbele ya moto, hivyo waovu waangamizwe uweponi mwa Mungu. \v 3 Bali wenye haki wafurahi; washangilie mbele za Mungu; washangilie na kufurahi.