|
\v 5 Wao wanahamasishana wenyewe katika kupanga uovu; wanashauriana pamoja wao wenyewe ili kuweka mitego; nao husema, "Ni nani atakayetuona?" \v 6 Wanabuni mipango ya dhambi; "Tumemaliza," wanasema, "Ni mpango makini." Mawazo ya ndani na mioyo ya watu ni ya kina. |