\v 3 Kwa sababu uaminifu wa agano lako ni bora kuliko uhai, midomo yangu itakusifu wewe. \v 4 Hivyo nitakutukuza wewe niwapo hai; kwa jina lako nitainua mikono yangu juu.