1 line
290 B
Plaintext
1 line
290 B
Plaintext
\c 55 \v 1 Uyategee sikio maombi yangu, Mungu; nawe usijifiche mbali na kusihi kwangu. \v 2 Unitazame kwa makini na unijibu; Sina pumziko katika shida zangu \v 3 kwa sababu ya sauti ya adui zangu, kwa sababu ya ukandamizaji wa waovu; maana wananiletea matatizo na kunitesa wakiwa na hasira. |