1 line
304 B
Plaintext
1 line
304 B
Plaintext
\c 53 \v 1 Mpumbavu husema moyoni mwake, "Hakuna Mungu." Wamepotoka na kufanya machukizo; hakuna mmoja atendaye mema. \v 2 Toka mbinguni Mungu hutazama chini kwa wanadamu kuona kama kuna yeyote mweye akili, amtafutaye yeye. \v 3 Wote wamekengeuka. Kwa pamoja wamepotoka. Hakuna atendaye mema, hata mmoja. |