|
\v 3 Mdomo wangu utazungumza hekima na tafakari ya moyo wangu itakuwa ya uelewa. \v 4 Nitaelekeza sikio langu kwenye mfano; nitaanza mfano wangu kwa kinubi. \v 5 Kwa nini nilazimike kuziogopa siku za uovu, wakati uovu umenizunguka kwenye visigino vyangu? |