\v 2 Nitamsifu Yahwe! walio onewa wasikie na kufurahi. \v 3 Msifuni Yahwe pamoja nami, kwa pamoja tuliinue jina lake.