sw_psa_text_ulb/27/11.txt

1 line
219 B
Plaintext

\v 11 Unifundishe njia yako, Yahwe! Kwa sababu ya adui zangu uniongoze katika njia salama. \v 12 Usiwaache adui zangu wanifanyie watamanivyo, kwa sababu mashahidi wa uongo wameinuka kinyume namimi, nao wanapumua vurugu!