1 line
279 B
Plaintext
1 line
279 B
Plaintext
\v 6 Bali mimi ni funza na sio mtu, nisiye faa kwa ubinadamu na hudharauliwa na watu. \v 7 Wale wote wanionao hunisuta; hunidhihaki; hunitikisia vichwa vyao. \v 8 Wao husema, "Yeye anamwamini Yahwe; mwache Yahwe amuokoe. Mwache amuokoe yeye, kwa kuwa yeye anampendeza sana Yeye." |