\v 8 Unilinde kama mboni ya jicho lako; unifiche katika kivuli cha mbawa zako \v 9 kutoka katika uwepo wa waovu ambao wananitusi, adui zangu wanizungukao. \v 10 Wao hawana huruma kwa yeyote; midomo yao huongea kwa majivuno.