sw_psa_text_ulb/122/08.txt

1 line
147 B
Plaintext

\v 8 Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu nitasema, "Amani iwe ndani yenu." \v 9 Kwa ajili ya Yahwe Mungu wetu, nitatafuta mema kwa ajili yako.