sw_psa_text_ulb/12/02.txt

1 line
365 B
Plaintext

\v 2 Kila mmoja anasema kwa jirani yake maneno matupu; kila mmoja anaongea kwa midomo yenye sifa za uongo na maneno ya udanganyifu. \v 3 Yahwe, katilia mbali midomo yenye sifa za uongo, kila ulimi unanena kwa nguvu mambo makubwa. \v 4 Hawa ni wale ambao wamesema, "Kwa ndimi zetu tutashinda. Wakati midomo yetu itakapo ongea, ni nani atakaye kuwa mtawala juu yetu?"