\v 8 Ni bora kuwa na makazi katika Yahwe kuliko kumtumainia mwanadamu. \v 9 Ni bora kukimbilia katika Yahwe kuliko kuamini katika wakuu.