\c 116 \v 1 Nampenda Yahwe kwa kuwa anasikia sauti yangu na kuomba kwangu kwa ajili ya huruma. \v 2 Kwa sababu alinisikiliza, nitamuita yeye ningali ninaishi.