|
\v 40 Waisraeli waliomba chakula, naye aliwaletea kware na aliwatosheleza kwa mkate kutoka mbiguni. \v 41 Aliugawa mwamba, maji yalimwagika kutoka humo; yalitiririka katika jangwa kama mto. \v 42 Kwa maana alikumbuka ahadi yake takatifu aliyoifanya kwa Ibrahimu mtumishi wake. |