\v 16 Aliita njaa katika nchi; akaondoa upatikanaji wa mkate wote. \v 17 Akatuma mtu mbele yao; Yusufu aliuzwa kama mtumishi.