sw_psa_text_ulb/06/01.txt

1 line
179 B
Plaintext

\c 6 \v 1 Yahweh, usinikemee ukiwa na hasira au usiniadhibu katika gadhabu yako. \v 2 Unihurumie, Yahwe, kwa maana ni dhaifu; uniponye, Yahweh, kwa kuwa mifupa yangu ina tikisika.