\v 7 Inuka, Yahweh! Uniokoe, Mungu wangu! Kwa kuwa utawapiga maadui zangu wote kwenye taya zao; utayavunja meno ya waovu. \v 8 Wokovu unatoka kwa Yahweh. Baraka zako ziwe juu ya watu wako.