\c 3 \v 1 Yahweh, maadui zangu wako wangapi! Ni wengi wamekuja kinyume na mimi. \v 2 Ni wengi wanaonimbia, "Hakuna msaada wowote kutoka kwa Mungu kwa ajili yake." Selah