\c 48 \v 1 Yahweh ndiye aliye mkuu na mwenye kusifiwa sana, katika mji wa Mungu wetu kwenye mlima wake mtakatifu. \v 2 Ni mzuri katika mwinuko wake, furaha ya nchi yote, ni mlima Sayuni, kwenye upande wa kaskazini, mji wa Mfalme mkuu. \v 3 Mungu amejifunua mwenyewe katika jumba lake la kifahari kama kimbilio la usalama.