\v 12 Furahini katika Yahwe, enyi wenye haki; na mpeni shukrani mkumbukapo utakatifu wake.