\v 9 Yeye alizifunua mbingu na alishuka chini, na giza nene lilikuwa chini ya miguu yake. \v 10 Alipanda kwenye kerubi na akaruka; akapaa kwenye mabawa ya upepo.