\v 44 Umeimaliza fahari yake; umekitupa ardhini kiti chake cha enzi. \v 45 Umefupisha siku za ujana wake; umemfunika kwa aibu. Sela