\v 20 Kumbuka agano lako, maana maeneo ya giza ya nchi yamejaa maeneo ya vurugu. \v 21 Usiwaache walioonewa warudishwe kwa aibu; uwaache maskini na walioonewa walisifu jina lako.